Heka 300 zipo eneo zuri lenye rutuba na maji bei Ni 25mil.mazungumzo yapo
shamba lipo kitongoji cha lunyele,kijiji cha mtetema kata ya mpepo wilaya ya nyasa . Miji ya karibu Ni mbinga na mbambabay.
mawasiliano yangu Ni 0754524206
picha ya shamba ipo
kaka sheria za mazingira zipo wazi hakuna mtu kuumizwa Bali anaenunua atapata faida kubwa.
Mto umeruhusiwa kisheria kutumika kwa shughuli za uzalishaji na serikali ya kijiji unarudi nyuma mita kadhaa unaweka mpaka Wako.
Bei Ni milioni mbili na nusu,shamba linapakana na mto miyombo kijiji cha ulaya katikati ya mikumi na kilosa linafaa kwa kilimo na ufugaji.
Muhitaji tuwasiliane Mara moja.
0713902202
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.