Habaniwi ila ni mipango tuu ni saw na wew sasa hv mzazi awe anakupa pesa ya matumizi ya mwaka kwa mara moja au kwa awamu tofauti???
Pia kusema funds zinazopita kwake means atakua ametolea jasho itamuuma kuchezea
Hakuna inaemuumua kuchezea boom
Kwanza nipende kushukuru kwa kupata kufahamu juu ya fursa hii, watanzania wote wanaweza kutoa mawazo yao tofauti tofauti,
Pia nichukue nafasi hii kuipongeza serikali toka awamu ya tano na ya sita walipojitahidi kufanya vema katika sekta ya elimu kwa kumruhusu elimu iwe bure pasipo kulipa ada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.