Recent content by Confederate Spy

  1. Confederate Spy

    Extract ya hotuba ya Josephine Mushumbusi alipoongea na Watanzania waishio DMV, USA

    Heheheee You are totally wrong.Stop misleading people here.Kama hii ni babysitting basi hao watu wanastahili kuwa dunia nyingine kama wana babysitter mkali kiasi hiki anayeweza kupambana na system na kuwashinda wakati yeye ni "babysitter" tu.Hata wewe huna uwezo wa kukabiliana nae pamoja na...
  2. Confederate Spy

    Extract ya hotuba ya Josephine Mushumbusi alipoongea na Watanzania waishio DMV, USA

    So kusoma contents za miaka 3 iliyopita hapa JF ndani ya siku Moja tu unaita utafiti?Acha ujinga na huu.msamiati wa Utafiti usiwe unautumia vibaya.Unajua maana ya Sampling?Questionaire.Unaijua hii terminology ya Research Methodology?
  3. Confederate Spy

    Extract ya hotuba ya Josephine Mushumbusi alipoongea na Watanzania waishio DMV, USA

    What a hell?Surprised??? Ho ho hoo! Man,You cant ran away.Peeling the mask
  4. Confederate Spy

    Extract ya hotuba ya Josephine Mushumbusi alipoongea na Watanzania waishio DMV, USA

    Huyo Mleta Mada ni Naibu katibu Mkuu.Na wewe Gamba course yako ya Orator uliyofeli mara kadhaa ulifanikiwa kupata masters yako maana unafiki na kiherehere kimekuzidi siku hizi.Haya hapa sio South Afrca lakini
  5. Confederate Spy

    Extract ya hotuba ya Josephine Mushumbusi alipoongea na Watanzania waishio DMV, USA

    Mkuu nawe unaingizwa Mkenge na ZeMarcopolo?
  6. Confederate Spy

    Extract ya hotuba ya Josephine Mushumbusi alipoongea na Watanzania waishio DMV, USA

    Na wewe sijui umeibukia wapi.Hangover za weekend zimeanza mapema sanaAchana na pombe za bei Rahisi.Utakunywa sumu siku nyingine kwa uroho wako usiozuilika.
  7. Confederate Spy

    Extract ya hotuba ya Josephine Mushumbusi alipoongea na Watanzania waishio DMV, USA

    Hawana wanawake.Olewa na mmojawapo ili na wewe unufaike kwa nafasi hiyo adhimu
  8. Confederate Spy

    Extract ya hotuba ya Josephine Mushumbusi alipoongea na Watanzania waishio DMV, USA

    Imeelezwa na nani?Fanya utafiti.Akili zako zikoje?unaonekana mwenye busara kumbe upuuzi umekuja
  9. Confederate Spy

    Extract ya hotuba ya Josephine Mushumbusi alipoongea na Watanzania waishio DMV, USA

    Ruzuku ya CCM ni nani anaikagua?Una uhakika Dr.Slaa katumia Ruzuku ya Chama?Nonesense
  10. Confederate Spy

    Extract ya hotuba ya Josephine Mushumbusi alipoongea na Watanzania waishio DMV, USA

    Wewe mwenyewe hapo ni mhanga kwa kuwa una maumivu moyoni.Hupendwi na hujawahi kupendwa kwa dhati.Una tatizo la kisaikolojia.You need to be in a psychiatric custody!
  11. Confederate Spy

    Extract ya hotuba ya Josephine Mushumbusi alipoongea na Watanzania waishio DMV, USA

    Wewe upeo wako uko chini sana.Darasani ulipata ngapi?Ni wapi alikosema unayotangaza hapa wewe.?MaCCM bwana!
Back
Top Bottom