Recent content by comrade JR

  1. comrade JR

    What's the story: Ulipataje kazi unayofanya au uliyowahi kufanya?

    Very interested with this. Thank u mkuu
  2. comrade JR

    Nahitaji mtu anayeweza na mwenye mtaji wa kufungua M- pesa, Tigo-pesa na airtel - money

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Daaa mkuu umenchekesha sana
  3. comrade JR

    Nahitaji mtu anayeweza na mwenye mtaji wa kufungua M- pesa, Tigo-pesa na airtel - money

    Wakuu Habari, Naitaj mtu anaye weza na mwenye mtaj wa kufungua M- pesa, Tigo-pesa na airtel - money, eneo ni mbez beach bonden, Karibu na kambi ya jesh lugalo. Mwenye uhitaj Pg no 0759657178 kumbuka kuna gharama ya udalali japo so kubwa sana.
  4. comrade JR

    Kujitolea United Nations(UN)

    Go ahead mkuu, uskate tamaa kama unania
  5. comrade JR

    Natafuta Dereva wa uber

    Mkuu vip dereva keshapatkana?
  6. comrade JR

    MSAADA KWA ATAKAE GUSWA

    Asante sana mkuu.. Of course it pain sana
  7. comrade JR

    MSAADA KWA ATAKAE GUSWA

    Niwazo zuri ilo mkuu lakini sawa kwa sisi ambao ni junior lawyers inakua ngum sana. Kwasababu naitaji nkae na seniors kwanza. ndo kdogo unaweza fanya ivo Kwa sababu kwa experience ya miaka miwili tu bado sana kwenye filed kufka hatua yakufungua ofisi
  8. comrade JR

    MSAADA KWA ATAKAE GUSWA

    Asante sana kiongozi
  9. comrade JR

    MSAADA KWA ATAKAE GUSWA

    Asante sana mkuu maneno yafaraja sana ntazngatia ushauri wako. #Mungu akubariki
  10. comrade JR

    MSAADA KWA ATAKAE GUSWA

    Shukran sana mkuu
  11. comrade JR

    MSAADA KWA ATAKAE GUSWA

    wanajamvi Heshima kwemu wote. Kulingana na changamoto za ajira Naomba ambae anaweza kuwa na connection ya kazi anisaidie kwa pale atakapo GUSWA. Elimu yangu ni degree ya sheria, uzoefu miaka miwili kama legal officer trainee. qualification hiyo isiwe kikwazo cha kupata fursa nyingine nje ya...
  12. comrade JR

    INAUZWA JIKO LA UMEME USED KWA BEI POA

    Mkuu usjali mteja atalikuta katika hali ya usafi.
  13. comrade JR

    Nahitaji kupata sehemu kwaajili ya kufungua biashara ya chips

    Habari zenu wakuu. Naitaji kupata sehemu kwaajili ya kufungua biashara ya chips Iliyo changamka. Maeneo ni mwenge kawe tangbovu mpaka tegeta.. Tuwasiliane 0759657178
  14. comrade JR

    INAUZWA JIKO LA UMEME USED KWA BEI POA

    Jiko la umeme used lenye plate nne linauzwa kwa bei ya Tsh 130000 Lipo maeneo ya mbezi Beach goigi. Lina ovena pia.. Na ni zima ispokua plate mbili ndo hazifanyi kazi ni za kubadili.. Kwa anae hitaj tuwasiliane 0759657178
Back
Top Bottom