Recent content by Commander In Chief

  1. Commander In Chief

    JamiiForums Tanzania TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

    Mr Kavishe. Mzee Ally (Mlinzi) Mr Nnko (Adv' Physics teacher)
  2. Commander In Chief

    JamiiForums Tanzania TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

    Alivyohamishwa kuna siku akatembelea MJ niliona video wanafunzi wakiandamana kumtaka asiondoke & arudi kuwa mkuu wao, Ilibidi Polisi waje kumsaidia aondoke maana wanafunzi walizingira gari lake pande zote. Hakika amepokelewa mbinguni na baba muumba.
  3. Commander In Chief

    JamiiForums Tanzania TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

    Aamen. Kuanzia nimeanza shule nimetunza documents zangu zote hadi leo tena kwa hali ya usafi. Check receipt niliyofanyia malipo term moja baada ya kupewa kibali na Brother PL.
  4. Commander In Chief

    JamiiForums Tanzania TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

    Nakumbuka nilienda ofisini kwake mimi mwenyewe kumuomba nafasi ya kujiunga na kidato cha pili, alinipokea kama wageni wengine bila kujali umri wangu. Aliniuliza maswali kadhaa kwa upole na mwisho akanipa kibali cha kujiunga na shule. R.I.P BROTHER.
  5. Commander In Chief

    JamiiForums Tanzania TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

    Kabisa mkuu. Watu wengi sana wamepitia mikononi mwake wengi saaana Ikiwemo Jamal Sambeke rubani TPDF
  6. Commander In Chief

    JamiiForums Tanzania TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

    Alikuwa anapenda sana kusema: DO THE RIGHT THING AT THE RIGHT PLACE & AT THE RIGHT MOMENT.
  7. Commander In Chief

    JamiiForums Tanzania TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

    Inasikitisha na kuhuzunisha sana kwa kifo chake. Ametutoka mapema leo 07/12/2020 katika hospitali ya Mount Meru Arusha. Taarifa zaidi kuhusu chanzo cha kifo chake zitakujia hivi karibuni. Nafahamu kuna wana MJSS wengi sana hapa Jukwaani walio ndani na nje ya nchi. Karibuni tumuenzi mkuu wetu...
  8. Commander In Chief

    JamiiForums Tanzania Nilivyonunua gari la 13.3M within 11 Months kutimiza ndoto zangu

    Naelewa mkuu, Ila tuseme nilibahatika kuchagua/kupata vijana waliotimiza wajibu kwa 100% Nilijaribu bahati yangu na MUNGU akasimamia Ikawa kweli. Shukrani zote kwa Sir GOD. Uliwapa kwa mkataba wakimaliza wazimiliki or kwa hesabu ya bila kikomo? Mkataba wakumiliki naona kidogo wanakuwa serious...
  9. Commander In Chief

    JamiiForums Tanzania Nilivyonunua gari la 13.3M within 11 Months kutimiza ndoto zangu

    Soma taratibu utaelewa nilichoandika. Usikurupuke utaaibika.
Back
Top Bottom