Recent content by Coffee Princess

  1. C

    JamiiForums Tanzania Going Bongo: Filamu ya kwanza ya Tanzania kukubalika Kimataifa

    hahaha Trailer nzuri kweli... Mmejitahidi jamani *makofi mengiiiii * huu ni mwanzo tu, nawatakia kila la kheri In Shaa Allah
  2. C

    JamiiForums Tanzania Going Bongo: Filamu ya kwanza ya Tanzania kukubalika Kimataifa

    mie nakuombea ubadili mawazo kwani hata mie nilikuwa na mawazo kama yako ila namshukuru Allah, jamani waigizaji wamejitahidi Alhamdulillah...huwezi amini ... mwenzetu kajitahidi kuondoa ile dhamira ya wabongo hawawez, tujitahidi kumsupport, nakuhakikishia wamejitahidi
  3. C

    JamiiForums Tanzania Going Bongo: Filamu ya kwanza ya Tanzania kukubalika Kimataifa

    Duuh.. movie ya juzi juzi hii.. Kanumba alikua kashatutoka , may he RIP
  4. C

    JamiiForums Tanzania Going Bongo: Filamu ya kwanza ya Tanzania kukubalika Kimataifa

    haijawahi oneshwa... kama upo nje ya Tanzania... tujitahidi kununua hiyo movie tuangalie..
  5. C

    JamiiForums Tanzania Going Bongo: Filamu ya kwanza ya Tanzania kukubalika Kimataifa

    this seems exciting... i can't wait to actually download it.. product ya kwanza nyumbani.. yani mmarekani na watanzania... awesome
Back
Top Bottom