unachosema ni kweli kaka. juzi tu kiongozi mkuu ikulu ametuhumiwa kwa ukabila vielelezo vichache vikatolewa... lakini kuna hata msemaji mmoja wa ikulu amenyanyua mdomo kujibu? au hata yeye mwenyewe mtuhumiwa? wanajua, watanzania kazi yao kusema tu lakini 'no action' . hatuna meno ya kuuma wala...
Lakini jambo la muhimu ni... Je, tutalalamika bila kuchukua hatua hadi lini? Kurasa kama hizi ndo za kuhamasishana na kuchukua hatua za kuleta mabadiliko. Oktoba inakuja, je, tumejiandaaje na tunaelimishaje umma wa Kitanzania kwamba miaka ya wanaotutawala imekwisha????
teh! hivi, unapokuwa na washauri ambao baba zao wanadiriki kusema kwamba wakiachia ngazi watoto wao ambao ni washauri wa mkuu watashika hatamu, pamoja na mambo ya kuacha kazi walizopangiwa na mkuu na kuanza kufanya kazi za tenda, je, kuna usalama hapo? hata mkuu anaona jinsi anavyohujumiwa. ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.