Ishu ni kukaza tu usikate tamaa! Ikitokea umekosa nafasi kipindi hiki unatakiwa kwenda kujipanga na wakati ujao unaanza maandalizi mapema kabla hawajatangaza zikisha tangazwa tu mambo yanaanza kuwa mengi
Kipindi kama hiki wengi huwa wanasema kulingana na utashi wao! Lonja zitatembea sana ila wenye taarifa za uhakika huwa hawasemi! Na wala hawapo humu na kama wapo ni wachache sana! Waliopo humu wengi wanatafuta tu tetesi
Polisi hawajawahi! Kukaa zaid ya miezi miwili baada ya tarehe ya mwisho wa ku apply kupita! Mara nyingi ni kuanzia 3 weeks - 7weeks ukiona wanachelewa basi zipo tusababu kadhaa! Ila majina ya usaihili yanaweza kutoka siku yyte hata Leo! Na pia yanaweza yakachelewa All in all subirini tu !
Jamani kama kuna mtu mwenye uwezo wakunisaidia niingie chomboni! Naomba anipe support! Najikuta nashindwa kufanya kazi nyingine yani nimechanganyikiwa na haya majeshi! Vyeti ninavyo pia umri unaruhusu! Elimu ni degree
Yaan binadamu wanakazi sana! Hapo utakuta kuna watu wanafurahi kusikia lonja kama hiyo! Rizik yako si lazima mtu fulani akose ww ndio upate! Sema ngoja tuangalie wasije wakaanza kulalamika tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.