Recent content by clever gal

  1. C

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

    Ndo hvyo tunaenda mkuu hatuchoki sababu cye ndo tunashida bana japo wengne ada tumezkusanya miaka kwa shida still tunasumbuka bado duhh
  2. C

    JamiiForums Tanzania Transfer TCU leo jioni

    Na kama mtu anaona wamechelewa kujibu akaamua kujisajili chuo alichokubaliwa mwanzo sababu vyuo vngne vmeeanza masomo je akitokea amebahatka kuhamishwa chuo ni lazma ahame chuo cha kwanza?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

    Kila mtu akienda anapewa jibu lake mara j5, mara alhami sasa leo ijumaa cjui tukienda leo watasema jpili!!!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Transfer yanatoka lini?

    Na kama umeenda chuo ulichochaguliwa mara ya kwanza na transfer zikatoka umehamishwa, je ni lazma kuhama au unaweza baki chuo hicho ulichojisajili?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    Mi nawaomba yawe ya amani ili yasije yakatokea mengine mabaya na kwa hao mnaowafata wasijifanye wao ndo wao wasikilize hoja na wajue jinc ya kutatua tatzo cyo kujenga tatzo lingne kubwaaa
  6. C

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

    Jaman msikae mkasubiri.muambiwe huku jf. Una nguvu na uko mjini nenda ofisi za TCU direct. Ohooo mtu anapatajibu leo ww utajulishwa kesho kutwa too late.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

    Yan ww kumbe una tcu yako. Sasa zile available slots za nn kama wanahamisha course hyo hyo!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kuhusu University of Iringa

    Tena kwa mkazo wamesema tusiporipot jtatu ndo tumejiondoa. Binafc nimepangiwa community devlpnt but nimeomba transfer so sijui hatma yangu
  9. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu

    Samahan wakuu inamaana siye tulioomba kwa kuangalia available slots cyo rahic kupata ni mpaka uende chuoni kuulizia, sijaelewa naomben ufafanuzi ndugu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Ushauri ndugu zangu

    Nenda ict una uhakika wa kupata,ajira hrm unaweza ukazunguka na bahasha za aina zote
  11. C

    JamiiForums Tanzania TCU na NACTE kuna uhusiano kweli

    Naomba ushauri. Nimechaguli iringa university na wanafungua j3 na ataeshindwa kuripoti j3 amejiondoa mwenyewe chuo na mm upande wa pili nimeomba nihamishwe chuo je nifanyaje sababu nkienda kuripoti j3 na ada lazma nlipe, je kuna anaejua majina yatatoka rasmi lin kwa wale tulioomba transfer?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Niwatie moyo (selected/notyet/cheking in progress) na jina halionekani

    Your the best thanks MAULA
  13. C

    JamiiForums Tanzania Niwatie moyo (selected/notyet/cheking in progress) na jina halionekani

    Clever Paul Anton university of iringa
  14. C

    JamiiForums Tanzania NACTE, check in progress

    Chuo hawajatoa jina na stil profile inasema not yet je utafanyaje!
  15. C

    JamiiForums Tanzania NACTE, check in progress

    Jaman mimi 29/9 ilikuwa wameconfirm iringa university but leo wanasema not yet na hata majina yalio kwenye web ya chuo sipo. Nahic wanatuchezea akili kwakweli mi naanza kuwahic wanataka chuon twende mwez wa kwanza cjui
Back
Top Bottom