Hakuna mmbunge aliemaliza kutekeleza ahadi kwenye jumbo lake, bajet ya ...15/16 zile 22 NA ushee ni T 5 tu ndizo za maendeleo sasa ahead utatekeza vipi kwa style hii....
yaan uwe na imani usiwe na imani chadema ndo hiyoooo..... mwendo mdundo, halafu we mmoja nini? wakat maelfu yanakuja vile vile hata ukiipigia kura chadema lazma kura yako itaharibika, kitu kingine chama kinaongozwa na katiba ya chama kwahyo katiba ikiwa mbovu ya kulindana wote mtakuwa wabovu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.