Recent content by clemsha789

  1. C

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Gari la Serikali limegonga na kuua mwanafunzi

    V8 ilikuwa spidi 140
  2. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

    Hivi kumbe kuipata hii ela kwa rushwa inawezekana ee, kuna m3 yangu nilikuwa nimeikatia tamaa ngoja nianze upya tena kuiomba, mwenye kumjua wa kufanya mchongo huu nssf ilala au ubungo nijulishe pls
  3. C

    JamiiForums Tanzania Makato Equity bank ni wizi wa wazi

    Kwani makato benki nyingine yakoje ukiwa nje ya nchi, usikute kiwango kipo juu kama hiyo
  4. C

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Anga Tanzania chini ya ATCL ni ghali kuliko hata usafiri kutoka Bara moja kwenda lingine kwa mataifa mengine

    Monopolism uliokusudiwa kabisa toka enzi za mwenda zake , badala ya kukaribisha watoa huduma wengi na kuweka vigezo nafuu ya kutoa huduma hii kwa makampuni mengine
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi atelekeza shamba lake, ni baada ya kupata teuzi, vibarua walia njaa

    Vyote vinalipa(kilimo na siasa) sema tu siasa hela yake rahisi sana tu
  6. C

    JamiiForums Tanzania Komdomu hosteli vyuo vikuu zinafanya nini?

    Watumishi wa umma wana mishahara
  7. C

    JamiiForums Tanzania LATRA yasitisha leseni ya mabasi ya Katarama

    Adhabu mbadala hamna?Si wampige hata faini kuliko kuzuia watu kupata mkate wao wa kila siku, madereva,makondakta na wafanyakazi wengine wa kampuni hii watakula wapi?
  8. C

    JamiiForums Tanzania LATRA yasitisha leseni ya mabasi ya Katarama

    Yafungiwe makampuni yote yaliyochezea vidhibiti mwendo sio katarama peke yake, na sije mkatujibu kwamba mmemtolea huyu mfano
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini, nahisi hii mitandao ya simu haina ulinzi wa uhakika

    Kwani wao(mitandao ya simu) wanasemaje?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Unajisikiaje pindi unapopiga simu ya mpenzi wako na kukuta inatumika zaidi ya mara 5?

    Piga mara moja tu, mwanamke mstarabu akiona anatafutwa atapiga tu acha kujistress
  11. C

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha Mtumishi wa Umma anafanyiwa Eviction kwa kushindwa kulipa Deni la kuuziwa Nyumba na TBA

    Moja wapo ya mifano mingi katika nchi hii kufanyika bila uhalisia. Mkopo nyumba 50m mshahara laki 6-8, bado mtu hajaishi na familia, katika uhalisia ni kitu ambacho hakipo. Hiyo ela ya marejesho/makato si mtu angejenga kibanda chake, na una kuta mtumishi akishindwa kumalizia mkopo marejesho yake...
  12. C

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu kwa wateja stesheni ya SGR Dar es Salaam

    Yaani hizi.huduma kama mwendokasi, sgr ziendeshwe na sekta binafsi, miundombinu ibaki kuwa ya serikali, nafikiri ikiwa hivyo mambo yatakuwa safi
  13. C

    JamiiForums Tanzania Sauli ni mfano wa wamiliki wa mabasi waliofilisiwa na madereva fake

    Hiyo pekee haiwezi kuwa sababu, biashara kubwa kama ina kanuni zake za kiuweledi kuzingatia kusema tu mwendo mkali ndio imeua biashara sio kweli, mbona wengine kama Allys ,katarama n.k wanaendelea vizr tu' au unawatabiriaje?
Back
Top Bottom