Natafuta gari ya kufanyia taksi mtandao - maarufu Bolt. Uzoefu ni miaka mitano hapa Dar es Salaam.
Kwa mwenye gari anipigie kwa namba 0618163635 au WhatsApp 0652802379
Gari ni IST, Sienta, Passo, Ractis, Raum au Vitz
Huo ndio utaratibu wao na watu wanafanya na wanafanikiwa. Pia kama mtumishi wa umma hana siri kwa serikali kama mshahara anapewa na serikali hivo serikali ikihitaji kukujua inakujua kwa kila kitu
Utangulizi
Uzi huu unatoa maelezo kuhusu taratibu muhimu ambazo watumishi wa umma wanatakiwa kuzingatia wanapohitaji msamaha wa ushuru kwenye vyombo vya usafiri(magari/pikipiki).
Aina ya vyombo vya usafiri vinavyohusika na msamaha
(a) Magari
(b) Pikipiki za aina zote
Ushuru unaosamehewa...
Mbona kila gari kodi ipo wazi kwenye calculator yao ndo maana kuna umuhimu kabla ya kufanya uamuzi wa kuagiza gari ujue unatakiwa kulipia kodi zipi ili kupata makadilio ya kiasi unachotakiwa kulipa
Ni kweli ila sio kwamba ni dampo gari mpya ni ngumu ku-afford km wangeruhusu gari ziingie zilizo kiu ya mwaka 2015 je wangapi wangemiliki magari? Wamefanya hivo kila mtu anunue analomudu
Asante mkuu kwa ushauri wako
Kwenye swala la kodi mfano ya TRA hii unaweza kusearch kwenye calculator ya TRA, shipping line inategemeana na wakala wa meli uliotumia bei zao hazifanani ila nyingi zinarange USD 50-70, Port charges inategemea na CMB za gari lako na agent fee kila kampuni wana bei zao.
Habari zenu wana JF tupo hapa kukumbushana mambo kadhaa kuhusu maswala ya uwagizwaji wa magari.
Unapotaka kuagiza gari ni vema kujua gharama za kodi linapofika bandarini itakufanya ujipime mfuko wako na kujipanga vizuri kwenye swala la kifedha kuepusha kushindwa kulipa gharama za kulitoa gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.