😂😂 Hilo nalo ni kweli, kuna watu wanaamini kabisa ladha ya chakula cha kwenye mkaa ina kitu chake cha kipekee. Lakini changamoto ni kuhakikisha tunapata njia za kupika zenye usalama zaidi bila kupoteza utamaduni na ladha tunayoipenda. 😄
Hivi mpaka sasa, bado kuna Watanzania wanaotegemea kuni na mkaa kwa ajili ya kupikia?
Swali hili linaweza kuonekana rahisi, lakini linaigusa moja kwa moja hali ya nishati ya kaya nyingi nchini Tanzania.
Katika kipindi ambacho dunia inaendelea kuzungumzia mpito wa nishati (Energy Transition)...
Teknolojia mpya imeibuka duniani ambayo inabadilisha hewa ya kabonidayoksaidi (CO₂) kuwa mafuta kama petroli na dizeli. Hili ni jambo la kihistoria kwa sababu linageuza gesi chafu inayoongeza ongezeko la joto duniani kuwa bidhaa yenye thamani inayotumika katika sekta ya usafirishaji na viwanda...
USIZIME MOTO WA GESI, MAFUTA AU UMEME KWA KUTUMIA MAJI!
Maji yanaweza kusababisha hatari kubwa kama mshtuko wa umeme au mlipuko wa gesi!
Tumia dry chemical powder fire extinguisher (ABC) au fire extinguisher inayofaa!
Usalama kwanza, jifunze njia sahihi ya kuzima moto...
Wafanyabiashara wa gesi, kumbukeni jambo hili la msingi kwa usalama wa familia zenu na wateja wenu:
msihifadhi mitungi ya gesi mnazouza ndani ya nyumba mnazoishi.
Mitungi ya gesi ni bidhaa yenye hatari kubwa ikiwa haitahifadhiwa kwenye mazingira sahihi. Gesi ikivuja ndani ya nyumba inaweza...
TAHADHARI KWA WATUMIAJI WA GESI YA KUPIKIA
Kama unatumia mtungi wa gesi jikoni, zingatia masharti haya ya usalama:
1. Kagua mara kwa mara
Angalia mtungi, bomba (pipe) na jiko lako kila mara.
Hakikisha havijachakaa, havijatoboka au kupasuka ili kuepuka uvujaji wa gesi.
2. Burner isiyo chakaa...
TAHADHARI KWA WATUMIAJI WA GESI YA KUPIKIA
Kama unatumia mtungi wa gesi jikoni, zingatia masharti haya ya usalama:
1. Kagua mara kwa mara
Angalia mtungi, bomba (pipe) na jiko lako kila mara.
Hakikisha havijachakaa, havijatoboka au kupasuka ili kuepuka uvujaji wa gesi.
2. Burner isiyo chakaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.