Naomba tuwe na akili timamu..mimi sipo dini yoyote sababu wazazi wangu ni dini tofauti kati ya hizi mbili zinazogongana kila kukicha..pia naomba wabishi waje jeshini waulize wakristo wangapi na waislamu wangapi..uone nini kitatokea.Na kama wewe mbabe..anzisha vita uone..na pia naona wasio na...
Naona hata tubadilishe Lugha tunapojadiliana suala la kidini..ukweli ni kwamba mambo mnayonga'ngania waislamu hayana msingi hata kidogo..sijui ni nini mnataka ninyi watu..kwani ukimwomba huyo mwenyezi mungu unayemwamini hawezi ingilia kati mpaka upigane kimwili?mbona ustaarabu hamna kabisa?Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.