Recent content by classy

  1. C

    JamiiForums Tanzania Walimu wa tempo ni majanga katika sekta ya elimu

    Kikubwa mwl kujitambua uwe wa temp au prmant watt wanatabia ya kuwashobokea walimu we kama mwl jizuie....
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya Ajira Mpya za Walimu 2015

    Ahahahaha hampo bac watatoa tena msijal sema tamisemi wanaroho ngumu.....
  3. C

    JamiiForums Tanzania Walimu ajira mpya waliokosa mshahara wa mwezi huu

    Jaman naomba msaada kwa anaejua kwa mwl wa diploma kusoma degree sifa zake zipi?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ualimu awamu ya pili out! Tembelea TAMISEMI

    Jaman wana JF mi nimeomba kubadirishiwa lakin jina halijatoka na kuripot siwez waliponipangia awali nifanye nn ushaur plz?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya Ajira Mpya za Walimu 2015

    Mi sipo tena jamn nina mkosi.... Vielezo vyote nimepeleka tamisemi lakini nimekosa sijui nifanye nn na kuripot magu siwez msaada wana JF
  6. C

    JamiiForums Tanzania Walimu Waliokosa Ajira Awamu Ya Pili

    Kaka wazir kama vp ni PM kwanza
  7. C

    JamiiForums Tanzania Walimu Waliokosa Ajira Awamu Ya Pili

    Mi kifupi naona sijapangwa bado..... Maana wao wanapanga bila kujua hyu tunaempeleka yupo hai, mgonjwa mlemvu au anatatizo gani..... Na ikitokea anakuja kuomba kubadirishiwa anaulizwa una tatzo gani..... Lazima mwl anayejitambua anataka afanye kaz ili elimu iwe juu na sio kufuata mshahara kwani...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Walimu Waliokosa Ajira Awamu Ya Pili

    Mi nafikiri mtu asiyetAka kaz awez kuomba kubadirishiwa mara nyingi.... Kuna walimu wanaripot alafu wanafanya kaz wk moja ktk kila miez mitatu.....
  9. C

    JamiiForums Tanzania Walimu Waliokosa Ajira Awamu Ya Pili

    Hv inawezekana kuripot alafu usifanye kazi..... Hii nchi haijui mtu mzalendo... Mi najua mtu anaomba kubadirishiwa ili afanye kaz kwa ufanisi sasa hawataki kukusikiliza sasa sijajua wanataka tuigize
  10. C

    JamiiForums Tanzania Walimu Waliokosa Ajira Awamu Ya Pili

    Yaaani mi naic kk nsmkoc maana watu wanabadirishiwa mm jina langu halipo.... Sa cjui umasikini maana nasikia watu wanaonga
  11. C

    JamiiForums Tanzania Walimu Waliokosa Ajira Awamu Ya Pili

    Kaka waziril plz kama una jibu about that coz jina langu sijaliona na barua yangu wameopokea saa tisa na nusu tar 27 mei
  12. C

    JamiiForums Tanzania Walimu Waliokosa Ajira Awamu Ya Pili

    Je Kuna majina mengine yatatoka kwa waliomba kubadirishiwa vituo?
  13. C

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jaman kwa wale wa ajira mpya mwl aje magu mi nije TEMEKE, I lala kibaha au bagamoyo plz 0713404747 dats ma numba
Back
Top Bottom