Recent content by ciza

  1. C

    JamiiForums Tanzania kama unajua nielimishe.

    unaponunua computer (laptop au desktop) ni kipi cha kuangalia? ukianzia na hd iweje, ram ukubwa gani, processor na vingine. Nijuze kama unajua.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Huu ni umoja wetu

    Ni sisi wanamozambique (uwam). Any news kuhusu gharama; tutalipiwa?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mozambique lini?

    kama vp tukaulizie kule kitarani(wizarani)
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mozambique lini?

    Tupo pamoja m2 wangu kama vp tupeane michakato yote jinsi inavyokuwa.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mozambique lini?

    Naomba mnijuze kama mnafahamu
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wale wa" mozambique" wenzangu

    Kama una taarifa rasmi tafadhali naomba tujuzane
  7. C

    JamiiForums Tanzania Schoolorship za mozambique

    Naomba maelezo au ufafanuzi kwa anayefahamu kuhusu zile schoolorship zilizotolewa kwa niaba ya serikali ya mozambique, kama ukichaguliwa utaratibu wake unakuwaje? Msaada kwa yeyote anayefahamu please!
Back
Top Bottom