Recent content by Cigar Icon

  1. Cigar Icon

    Mtela Mwampamba,Habib Mchange na Nyakarungu waratibu mkutano wa waandishi wa Habari Serena Hotel

    Wewe upo chini ya chungu umeelemewa.Si ushamba huo,kujificha gani huko?
  2. Cigar Icon

    Mtela Mwampamba,Habib Mchange na Nyakarungu waratibu mkutano wa waandishi wa Habari Serena Hotel

    Kuku mwenyw kideri usipige mateke vifaranga wa wenzio.Hauponi
  3. Cigar Icon

    Mtela Mwampamba,Habib Mchange na Nyakarungu waratibu mkutano wa waandishi wa Habari Serena Hotel

    MODS pandisheni hii update pale juu.Huu ni uthibitisho wa mojawapo wa niliowataja CC: Invisible, Paw, Buchanan, Fang, PainKiller
  4. Cigar Icon

    Mtela Mwampamba,Habib Mchange na Nyakarungu waratibu mkutano wa waandishi wa Habari Serena Hotel

    Alimpa hela Malinzi za kampeni.Pia ameteuliwa,hajachaguliwa
  5. Cigar Icon

    Maandamano yanayoendelea Kigoma ni salam tosha kwa madikteta CHADEMA

    Hawajawahi kuwa wanachadema maana kama ni hivyo Kigoma ingekua na wabunge wengi wa CHADEMA
  6. Cigar Icon

    Mtela Mwampamba,Habib Mchange na Nyakarungu waratibu mkutano wa waandishi wa Habari Serena Hotel

    Uchaguzi?Alishindwa TFF mwaka 2000 ataiweza CHADEMA?
  7. Cigar Icon

    Mtela Mwampamba,Habib Mchange na Nyakarungu waratibu mkutano wa waandishi wa Habari Serena Hotel

    Marafiki zake Akina Nchimbi,Mwigulu,Mwampamba,Nyakarungu na Mchange? Kwanini isiwe Arfi au Waitara?
  8. Cigar Icon

    Mtela Mwampamba,Habib Mchange na Nyakarungu waratibu mkutano wa waandishi wa Habari Serena Hotel

    Watu waliofukuzwa kwa usaliti ndio wanaoandaa mchakato mzima press ya watu wanaojitamba kuipenda CHADEMA? Watu wanaotamka na kuapa kuiua CHADEMA?Never
  9. Cigar Icon

    Mtela Mwampamba,Habib Mchange na Nyakarungu waratibu mkutano wa waandishi wa Habari Serena Hotel

    Kwenye Mkutano na waandishi wa habari pale ukumbi wa Kivukoni-Serena Hotel alikuwepo Mtela Mwampamba aliyekua akikagua watu wote waliokua wakiingia ndani, Mchange aliyekua akichagua watu wa kuuliza maswali akishirikiana na Grayson Nyakarungu katika logistics Kwa ujumla show nzima imesimamiwa na...
  10. Cigar Icon

    Uchaguzi Mkuu 2015 ni kati ya Lootocracy Vs Patriocracy

    Samahani ndugu zangu.Nilijisahau kuweka source
Back
Top Bottom