Habari wakuu namshukuru Mwenyezi Mungu na natumaini mko salama.
Napenda kujumuika nanyi katika ukurasa huu kwa kugusia suala zima la afya hasa nikilenga kwa zile taasisi binafsi au mtu mmoja mmoja kuna changamoto nyingi katika jamii zetu unakuta mtu anaumwa hata pesa ya kula au mahali pa kuishi...
Habari wakuu!
Katika Nchi zilizoendelea na zinazoendelea suala la utawala bora na uwajibikaji ni kipaumbele cha kwanza ambacho kinawezesha nchi kuleta matokeo chanya mfano kwa hapa Tanzania suala la utawala bora na uwajibikaji bado halina nafasi kubwa hivyo hupelekea baadhi ya maeneo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.