Recent content by Chuo Cha Tafakari

  1. Chuo Cha Tafakari

    JamiiForums Tanzania Binadamu na Nyota: Mwangaza Mfupi Kati ya Giza Mbili?

    Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu Je, binadamu ana uhusiano wowote wa kweli na nyota? Je, tunaongozwa nao? Tumetokana nao? Au nyota ni mapambo tu ya anga, kama taa zisizo na maana zaidi ya kutufurahisha macho? Maswali haya si mapya. Yamechochea fikra za watawala, wanafalsafa, wachawi, manabii na...
  2. Chuo Cha Tafakari

    JamiiForums Tanzania Tuna maisha gani ndani ya miili ambayo hatukuichagua?

    "Baraka na Laana si vitu viwili tofauti. Mara nyingi, huwa ni sura mbili za uso mmoja." Weekend hii, kabla hujajitayarisha kwa wiki mpya, tafakari hili: Ulizaliwa na akili nyingi — lakini unahangaika na huzuni ya ndani isiyoisha. Ulizaliwa mrefu na mwenye mvuto — lakini mwili huo huo...
  3. Chuo Cha Tafakari

    JamiiForums Tanzania Baraka Zinazoumiza, na Laana Zinazojenga: Umezaliwa na Kipi Kinachokuletea Faraja? Na Kipi Kinakubebesha Huzuni?

    Baraka yangu kubwa ni ngozi yangu aisee, nyeupe na inang'aa na mademu wanaisifia balaa...... Ubaya wake ni kwamba kila mtu anadhani Mimi mchagga wakati moyoni ni "MLA MBWA" proud
  4. Chuo Cha Tafakari

    JamiiForums Tanzania Wamisionari walileta Biblia, Sisi tukawapa Historia zetu bila kuandika : Tulikaa karibu na Waarabu Miaka 1000, lakini hatukuandika kama wao — Why?

    Tunaishi kama ng'ombe hatujui tunakotoka na hatujali, tunachojua ni kwamba Yanga itacheza hata kwa Kufungwa na kamba
  5. Chuo Cha Tafakari

    JamiiForums Tanzania Jumapili Hii: Umewahi Kujiuliza Ubongo Unaotumia Kupokea Injili Unafanyaje Kazi? Je Mawazo na Maadili Yako ni Yako Kweli au ni ya Mchungaji?

    Nimewaza mpaka nimewazua ; kama Ulikosa tafakuri hii Usiku wa Jumamosi (Jana) basi jumuika nami Leo hii tuzichangamshe bongo zetu tulizotunukiwa na Muumba 👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/safari-ya-akili-huru-tafakuri-ya-maisha-fikra-na-uhuru-wa-ndani.2348747/
  6. Chuo Cha Tafakari

    JamiiForums Tanzania Safari ya Akili Huru: Tafakuri ya Maisha, Fikra na Uhuru wa Ndani

    SAFARI YA AKILI HURU: Mwaliko wa Kufikiri kwa Uhuru Na: Mwandishi Wako Swali hilo, japo rahisi kwa matamshi, linatetemesha msingi wa maisha ya kila mmoja wetu. Lakini kwa bahati mbaya, wengi wetu hatupendi kujiuliza. Tunashughulika, tunakimbizana, tunatii... ila hatufikiri. Karibu sana...
Back
Top Bottom