Ahsnte Mkuu, mawazo yako nayazingatia vya kutosha..
NB:- Assembly hii ninayotaka chunguza kuianza sio ya kuzalisha big machine Kama Magari n. k, Hapana.. Ila Nataka Kufanya assembly ya bidhaa ambayo karibia kila mtu nchi hii na dunia at alarge wanaitumia.. hasa hasa taasisi za serikali na...
Ahsnte sana Mkuu. Umenifungua vya kutosha.
Bado Naendelea kujifunza na kukamilisha uchunguzi katika hili.
NB:- Hizi product ninazo zifanyia uchunguzi ili kuanza kuzifanyia assembly.. kwa mujibu ya utafiti wangu, nilichogundua na kuona baadhi ya wanaofanya huko nje ( China & India ) sio lazima...
Nawa salimu kwa jina la M/mungu..
Niko na wazo la muda mrefu, nataka nianze Biashara ya uunganishaji (( Assembly Business )) kwa Bidhaa mbalimbali.
Changamoto yangu Ni :-
1. Nitumie njia gani ili niweze kuagiza parts (( vipuli )) za Bidhaa hizo ninazo taka kuanza kuzifanyia assembly.. Sababu...
Nawa salimu kwa jina la M/Mungu.
Niko na wazo la muda mrefu, nataka nianze Biashara ya uunganishaji (Assembly Business) kwa Bidhaa mbalimbali.
Changamoto yangu Ni:
1. Nitumie njia gani ili niweze kuagiza parts (vipuli) za Bidhaa hizo ninazo taka kuanza kuzifanyia assembly.. Sababu parts zote...
Nawa salimu kwa jina la M/mungu..
Niko na wazo la muda mrefu, nataka nianze Biashara ya uunganishaji (( Assembly Business )) kwa Bidhaa mbalimbali.
Changamoto yangu Ni :-
1. Nitumie njia gani ili niweze kuagiza parts (( vipuli )) za Bidhaa hizo ninazo taka kuanza kuzifanyia assembly.. Sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.