Recent content by christophermmassi

  1. C

    KERO Chuo cha Maafisa Tabibu Kilosa na NACTVET kimeshindwa kuwapa vyeti wanafunzi waliounguliwa na vyeti vyao mwaka 2019

    Kero: Habari za Leo! Mimi ni mdau wa Habari za wakati huu! Mimi ni mdau wa jamii Forum tarehe 9 July mwaka huu nilandika kero yangu kuhusu kukosa vyeti vyetu tukiwa wahitimu wa chuo cha kilosa COTC karibia wahitimu 43 hivi. Sasa kero ile tunashukuru uliweza kuipost kwenye mjadala na mtandao wa...
  2. C

    KERO Chuo cha Maafisa Tabibu Kilosa na NACTVET kimeshindwa kuwapa vyeti wanafunzi waliounguliwa na vyeti vyao mwaka 2019

    Tumeteseka sana na hili hakuna ambaye alikuwa tayari kutusaidia asanteni sana Jamii forum kwa kutusaidia kufuatilia hilii kweli mnamchàngo mkubwa kwenye maendeleo ya jamii ýetu.
  3. C

    KERO Chuo cha Maafisa Tabibu Kilosa na NACTVET kimeshindwa kuwapa vyeti wanafunzi waliounguliwa na vyeti vyao mwaka 2019

    Mwaka 2019 chuo chetu kilipata janga la kuungua moto na Vyeti vyetu wanafunzi wahitimu 43 vikaungua, Tangu wakati huo tumepata usumbufu wa kutopata vyeti vyetu kutoka Chuo na NACTVET huku wote wakirushiana mpira kwa kusema ni uzumbe wa mwingine mpaka sasa sisi kutokupata vyeti vyetu. Tunaomba...
Back
Top Bottom