Habari wadau.......
ndugu wadau nina mawe ya rangi aina ya zambarau ambayo yanapitisha mwanga hadi mwisho sasa sijajua hayo ni madini gani na kila nikiuliza watu kila mtu ananiambia jina lake mwingine aliniambia alexndrite na majina mengine ambayo siyajui kwa kuwa mimi c mtaalamu wa mambo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.