Recent content by Christopher Haule 255

  1. Christopher Haule 255

    JamiiForums Tanzania Natafuta hospitali yakupiga kazi kama Clinical Officer

    Yah mzee ni hatar yani
  2. Christopher Haule 255

    JamiiForums Tanzania Natafuta hospitali yakupiga kazi kama Clinical Officer

    Yah man nilikuwa huko nmemaliza nao mkataba nasubir mkatab mwingine
  3. Christopher Haule 255

    JamiiForums Tanzania Natafuta hospitali yakupiga kazi kama Clinical Officer

    Habari za muda huu wanajamvi Naitwa Christopher Haule natokea Morogoro kwa sasa Nipo Dar nimemaliza Diploma ya Clinical medicine (Utabibu) Mkoani Ruvuma mwaka 2020 natafuta hospitali(Dispensary)yoyote yakupiga kazi kama Clinical Officer. Kwa yeyote mwenye Connection naomba mnisaidie kwa hilo...
  4. Christopher Haule 255

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kujitolea JKT huwa zinatoka wakati gani?

    Hatar bablai kwahyo bado haifahamiki nafasi zitatoka mwez wa ngap
  5. Christopher Haule 255

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kujitolea JKT huwa zinatoka wakati gani?

    [emoji28][emoji28][emoji28]Ko hmna jambo
  6. Christopher Haule 255

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kujitolea JKT huwa zinatoka wakati gani?

    Dah m nmechoka kusubiri aisee
  7. Christopher Haule 255

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kujitolea JKT huwa zinatoka wakati gani?

    Mtaan hapasomeki aise acha nisikilizie sijui ni lini
  8. Christopher Haule 255

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kujitolea JKT huwa zinatoka wakati gani?

    Kuna mtu ameniambia muda wowte mwingine kasema mbka mwez wa tatu sa sijui lipi ni lipi
  9. Christopher Haule 255

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kujitolea JKT huwa zinatoka wakati gani?

    Duh kwel sio pow aise
  10. Christopher Haule 255

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kujitolea JKT huwa zinatoka wakati gani?

    [emoji28][emoji28]kwahyo watu waende kulima sio
  11. Christopher Haule 255

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kujitolea JKT huwa zinatoka wakati gani?

    Habarini wanajamvi samahan wazee nilikuwa nauliza kwa anaefahamu nafasi za JKT kwakujitolea huwaga zinatangazwa mwezi wa ngapi? Asanteni..
  12. Christopher Haule 255

    JamiiForums Tanzania Napata kizunguzungu kila nikiamka kutoka sehemu niliyokaa

    Kachek Hb level na pressure mara nyingi ni visababish vikubwa kwa kizunguzungu
  13. Christopher Haule 255

    JamiiForums Tanzania Natafuta Hospitali ya kujitoleaa kama Clinical Officer (Tabibu)

    Yah Mungu hujibu kwa wakat wake
  14. Christopher Haule 255

    JamiiForums Tanzania Natafuta Hospitali ya kujitoleaa kama Clinical Officer (Tabibu)

    [emoji23][emoji23]mwanasheria wangu hana hata office mzee
Back
Top Bottom