Hahahahaha nmekuelewa naomba nisijb swali lako straight. Nakupa tu mwanga wa jibu migogoro mingi ya ardhi chanzo chake ni hicho kama una D mbili ushaelewa.
Unapozungumzia muhusika unamaanisha nani ? Muuzaji au muuziwaji kumbuka ukishamuuzia mtu Huwa Kuna mashahidi wa maeneo husika ,kuanzia selikar za mitaa n.k
Kimsingi utapeli upo ila sio kirahis kma unavyozungumzia labda kma muuziwa alipotea Kwa miaka mingi Kisha muuzaji ndio aamue kufanya...
Ngoja nitumie njia hii Ili uweze kunielewa Kwa urahis, si ushawah sikia viwanja vinauzwa pengine , bagamoyo , au vikindu na wanasema vimepimwa ,
ww unavyojua unapokwenda kukinunua kinakuwa na hati tayar au ww ukishanunua ndio unafuatilia utengenezaji wa hati ?
Tena Kwa kuongezea vile viwanja...
Mbona hati na eneo kupimwa ni vitu viwili tofaut Mzee tafakar vzr , selikar inapima maeneo hati ni mwenye eneo baada ya kununua ndio kufuatilia ofis za ardhi. Iko hv selikar inaweza pima viwanja vyote vya eneo fulan na kuonyesha miradi yote inayopaswa kuwepo kwenye eneo Hilo then ukinunua Hilo...
Hati haina ila eneo limepimwa hvyo kama mnunuzi anahitaj hati , uwezo wa kuipata ni simple either anunue ikiwa bila hati then hati afuatilie mwenyew au amruhusu mwenye nyumba kuingia gharama za hati Kisha yeye aje Tena a process kubadiri umiliki uje kwake ambapo naona Bora anunue ikiwa hvi then...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.