Recent content by Christian K

  1. Christian K

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Redmi Note 11 128/6GB inauzwa

    Hapana kk Simu huwa zinashuka bei Kaka sio kupigwa, lakini hata hivyo ww unaona 200K ndio thamani ya Note 11 128GB ? Hata kama NI used
  2. Christian K

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Redmi Note 11 128/6GB inauzwa

    350K unachukua,Simu iko Iringa.
  3. Christian K

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Redmi Note 11 128/6GB inauzwa

    Ina miezi minne toka inunuliwe Haina shida yeyote iko clean sana
  4. Christian K

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Redmi Note 11 128/6GB inauzwa

    350,000 Bei ya mwisho Bro bei fair kabisa 250K uongo mkuu
  5. Christian K

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Redmi Note 11 128/6GB inauzwa

    Hailipi Boss
  6. Christian K

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Redmi Note 11 128/6GB inauzwa

    Hailipi kaka Simu bado New kabisa.
  7. Christian K

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Redmi Note 11 128/6GB inauzwa

    Xiaomi Redmi Note 11 Storage Gb128/6Gb Ram Camera ni balaa📸🔥🔥50MP ultra Wide /13MP Selfie Laini mbili Battery 🔋 5000MAH (Over 2 days lasting with data usage) Simu iko clean Vibaya mno imetumika miezi minne, full boxed.
  8. Christian K

    JamiiForums Tanzania Je naweza kupata mkopo HESLB kwa kuweka barua ya kustaafu kwa mzazi

    kwa mfano Mimi niliomba mkopo mwaka jana nikakosa je ninapoomba tena mwaka huu nikaweka barua ya kustaafu ya mzazi ambaye amestaafu mwaka jana je ninaweza pata mkopo? ( Ngazi ya shahada )
Back
Top Bottom