Recent content by Chriss_ Chriss

  1. Chriss_ Chriss

    Biashara yenye faida nzuri marafiki zako hawatotaka uifanye

    Tusiwe watu wa kusikia kila kitu. Nchi yetu ni huru kufanya biashara popote pale uwapo ndani , Nb vigezo na masharti kuzingatiwa.
  2. Chriss_ Chriss

    Biashara yenye faida nzuri marafiki zako hawatotaka uifanye

    Huwa tunasoma na kuelewa ndipo tunajibu, na sio kujibu ulichokisoma bila kukielewa, matokeo yake huwa ni jibu la ovyo. Ni vyema ukasoma maelezo yangu yote kwa usahihi na kuyaelewa [emoji120].
  3. Chriss_ Chriss

    Biashara yenye faida nzuri marafiki zako hawatotaka uifanye

    Haujui unavyo viandika ni vyema ukasoma maelezo yangu kwa umakini.
  4. Chriss_ Chriss

    Biashara yenye faida nzuri marafiki zako hawatotaka uifanye

    Sio motivesheni speakers ni 'motivational speakers" nimesoma mara mbili mbili ulicho andika nimegundua Kuna vitu viwili vimekosekana ndani yako, 1. Ukosefu wa maarifa sahihi 2. Uelewa finyo ulio nao jitahidi sana kusoma hivi vitabua #Rich Dad's Guide To Investment by Robert Kiyosaki na #The...
  5. Chriss_ Chriss

    Biashara yenye faida nzuri marafiki zako hawatotaka uifanye

    Unapo amua kufanya biashara ya mchele au kulima ni vyema ukawa na assurance ya soko kwa kipindi cha miaka miwili mpaka mitatu, Na hii ni raisi sana kwa ndani ya Tanzania ingia chimbo fanya utafiti wa undani zaidi pata information za kutosha then thanks me later. Bei ya mpunga ya geita uwezi...
  6. Chriss_ Chriss

    Biashara yenye faida nzuri marafiki zako hawatotaka uifanye

    Ndio thus why am here boss, uwezi Kuja kwenye jukwaa without information za kutosha
  7. Chriss_ Chriss

    Biashara yenye faida nzuri marafiki zako hawatotaka uifanye

    Karibuni kushauri na kuelekeza zaid na investing pia [emoji123]
  8. Chriss_ Chriss

    Biashara yenye faida nzuri marafiki zako hawatotaka uifanye

    1. I have a business idea ambayo nimeifanyia kazi na tafiti za kutosha kuanzia mwaka jana mpaka mwaka huu, morogoro kisaki wanalima sana mpunga,kipindi cha mavuno gunia la mpunga wanauza 35,000/= mpaka 45,000/= gunia la debe sita shambani, gharama za kusafirisha gunia moja mpaka godown gunia...
Back
Top Bottom