Recent content by Chris Kamlenga

  1. Chris Kamlenga

    JamiiForums Tanzania Mafuta au Manukato ya Bint Sudan

    mimi nimepaka ila baadhi ya wadau ndio wameniambia hivyo,kwahiyo kuja kwangu hapa nilitaka kupata ufafanuzi kwa watu wengi zaidi maana najua kuna wengi wanayajua kuliko mimi
  2. Chris Kamlenga

    JamiiForums Tanzania Mafuta au Manukato ya Bint Sudan

    hapo nimekupata
  3. Chris Kamlenga

    JamiiForums Tanzania Mafuta au Manukato ya Bint Sudan

    Wadau Habari zenu, Naomba kufahamu zaidi kuhusu haya manukato (mafuta) yanayoitwa Bint Sudan ambayo watu tofauti huyatumia kama manukato tu ya kawaida na wengine tiba ya mambo tofauti kama kunuka KIKWAPA, lakini pia wengine hutumia kitaalamu zaidi kwa ajili ya kuondoa Nuksi na Mikosi. Sasa...
  4. Chris Kamlenga

    JamiiForums Tanzania Mafuta au manukato ya Bint Sudan

    Wadau Habari zenu, Naomba kufahamu zaidi kuhusu haya manukato (mafuta) yanayoitwa Bint Sudan ambayo watu tofauti huyatumia kama manukato tu ya kawaida na wengine tiba ya mambo tofauti kama kunuka KIKWAPA, lakini pia wengine hutumia kitaalamu zaidi kwa ajili ya kuondoa Nuksi na Mikosi. Sasa...
  5. Chris Kamlenga

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vipele mwili hadi sehemu za siri

    Kwa specialist wa ngozi sijampeleka kiukweli,naona labda nimpeleke inaweza kuwa njia nzuri, Ahsante
  6. Chris Kamlenga

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vipele mwili hadi sehemu za siri

    Ahsante sana
  7. Chris Kamlenga

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vipele mwili hadi sehemu za siri

    Ndio na dawa ametumia sana bila mafanikio
  8. Chris Kamlenga

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vipele mwili hadi sehemu za siri

    Miaka sita
  9. Chris Kamlenga

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vipele mwili hadi sehemu za siri

    Hapana,lakini hata hivyo dawa za Allergy ametumia bila mafanikio
  10. Chris Kamlenga

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vipele mwili hadi sehemu za siri

    Habari wadau,Naomba msaada kwa anayejua dawa ya kutibu ugonjwa wa vipele mwilini hadi sehemu za siri maana imekuwa ngumu mwanangu wa kiume kupona tatizo hilo,ametumia dawa nyingi sana za hospitali lakini imeshindikana,kwa sasa ugonjwa una zaidi ya miezi mitatu ila imekuwa ngumu,yaani anawashwa...
  11. Chris Kamlenga

    JamiiForums Tanzania Uke unabana hata uume haupiti ila sio bikla, au kalogwa?

    Naweza kuwa anafanya makusudi ili kukuaminisha hakuwa mzinzi sana,hivyo jitahidi kumfanyia romance vizuri na ute ukiongezeka na akapata hisia kali basi ataacha kubana maana atahisi raha,hata kama ikiwa ngumu kuingia Ila ikiingia hata kuchwa tu basi lazima itaachia bila shida
  12. Chris Kamlenga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanamke anawahi kukaukiwa na maji wakati wa tendo la ndoa

    Ndio limeanza hivi karibuni,Hilo la kubadilisha style na mazingira ndio nalifanyia kazi,nataka nitumie muda mrefu kidogo bila kushiriki tendo tuone kama inaweza kufanya kazi
  13. Chris Kamlenga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanamke anawahi kukaukiwa na maji wakati wa tendo la ndoa

    Sidhani kama umeongea matusi,na humu kuna watu wazima tu kwahiyo hakuna maana ya kuficha ila ni kupunguza ukali wa maneno tu, Tuna miaka saba kwenye ndoa alafu nishindwe kuperform hivi karibuni kweli?
  14. Chris Kamlenga

    JamiiForums Tanzania Mtoto kuchelewa kuota jino baada ya kung'oa kwa mara ya kwanza

    Duuuh!!miezi 6 baada ya kuanza kung'oa?
Back
Top Bottom