Recent content by chosti

  1. C

    JamiiForums Msaada: wazoefu wa magari naomba ushauri

    Nashukuru kwa ushauri wenu, nitazingatia wakati wa kufanya maamuzi.
  2. C

    JamiiForums Msaada: wazoefu wa magari naomba ushauri

    Natafuta gari ambayo inauwezo wa kubeba watu 7 au 6, na yenye uwezo wa safari ndefu katika barabara zetu za Tz. Nina mpango wa kutumia gari yenyewe kwa miezi mitatu tu na nimeshauriwa kuwa gari aina ya Toyota Noah inafaa. Nimepata fununu kuwa mtaani bei ni kati ya ml. 8 na 10 na showroom ni...
  3. C

    JamiiForums Wazo la nyumba ya kupanga

    Jamani naomba kuuliza kama kuna anayejua uwezekano wa nyumba salama ya kupanga kwa muda mfupi (miezi 3)maeneo ya kigamboni. Yenye ukubwa wa vyumba vitatu na iwe full furnished. Isiwe mbali kutoka beach nzuri. Je nyumba yenye sifa hizo inafika wastani wa kiasi gani kwa mwezi? Je maeneo mengine...
Back
Top Bottom