Recent content by Choosen85

  1. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

    Sa huyu naye mali zote nje ya mirathi kakabiziwa zote na ameanZa kuuza baadhi ya vitu kwa madai kwamba ye anarudi kuishi tu kwao huko...hakuna anayetaka mirathi hiyo ila watu wamekataa ushenzi aliofanya tu
  2. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

    Sidhan kama una akili timamu na unawaza yaliyo potofu sn ndo maana umesoma hata hujaelewa kitu umekurupuka tu na mambo ya mali sjui ni choko ww
  3. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

    Taarifa yote ipo kwenye thread hujaelewa unataka niseme nn kama ww unawaza kwamba kuna watu tunamendea mirathi , yaan mtu afoji sahihi yako na kwenda itumia mahakamani wakati anajua kbs mnaweza kukutana, je kama alibadili muhtasari akajiandkia mambo ambayo hamkukubaliana naye na ameghushi sahihi...
  4. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

    We ni mjinga sn vipengele vya kurekebisha vilitoka mahakamani siyo khs yeye bnafsi maana yake hata yeye hakuwa na shda na muhtasari wa ukoo ila alitaka tu shortcut akajirekebshia na kupga sahihi za watu hao waliopgiwa sahihi ndo hawataki sasa wanataka kujua kwann sahihi zao zfojiwe
  5. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

    Jamaa ni mjinga sn hivi unajua kufoji sahihi ya mtu na kuitumia kujinufaisha ni kosa kisheria na anaweza kukushtaki hayo mambo ya mirathi hakuna mwenye muda na hiyo mirathi wala huo muhtasari haukuwa na sehem yoyote ya kumuonea kuna vpengele aliambiwa na mahakama alete tumrekebshie haluja wala...
  6. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

    Sa unaniuliza mm nenda kumuulize mfoji sahihi
  7. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

    Haya njoo uungane naye sasa msaidzane karibu sn yaan mtu awekee sahihi fake watu halafu unataka wanyamaze siyo 🤔 ingekuwa ni kesi ya mauaji na tyr mtu kabandka watu na kawasainia ingekuaje 🖕
  8. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

    Hapana shida ila ndugu wanacholalamika ni kujiandikia muhutasari mpya na kutumia majina ya watu na kuwawekea saini
  9. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

    Hapana sina shida naye hata sasa nipo tyr msaidia
  10. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

    Sawa mke wa marehemu mi nataka na hivyo sasa Liko wazi ni yeye tu 🤔 shida tu kujirekebishia muhtasari na kutia saini fake za watu ambao hawajui kmerekebishwa nn
  11. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

    Sawa mke wa marehemu mi nataka na hivyo sasa 🤣
  12. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

    Ndiyo nashupalia mali za marehemu 😀
  13. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

    Sawa kwann sasa arudishiwe kufanya marekebisho yeye ajiandkie na kutia saini fake za watu
  14. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

    Ndiyo hivyohivyo mkewe marehemu nakuelewa
  15. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

    Sawa mke wa marehemu 😀
Back
Top Bottom