Recent content by Chollo0156

  1. C

    JamiiForums Tanzania KERO Utata Mizani Airport terminal 3

    Unaweza ukaitaja moja halaf huu mchezo ukawa sehem nyingi... so acha tupige kelele wakaguliwe wote tu
  2. C

    JamiiForums Tanzania KERO Utata Mizani Airport terminal 3

    Nimesindikiza mgeni hivi karibuni akielekea Ughaibuni. Kabla sijampeleka airport nilifanya kupima begi lake uzito ili kuhakiki isitokee kupunguza mizigo panga pangua na begi lilikua na KG30 kamili. Kisha nlipofika pale wanapofanya wrapping niliwrap na kuhakiki uzito ulikuwa huo huo 30kg. Sasa...
Back
Top Bottom