[emoji23][emoji23][emoji23]kuna comments za ajabu humu mpaka zinakufanya uwe stressfree,ila kuwahi au kuchelewa ni maneno tu ya kijiweni kuna wengine tumetahiriwa hatujitambui but mashaAllah mashine c za kitoto zinapoinuka pengine na afya ya mtoto toka anakua na mapitio yake kiujumla yanaweza...
ikikubali nakunya mimi,hapo kazi ipoo mi nimesuffer sana na hilo tatizo na sio tatizo dogo kama mnavyofikiria nyie ila msubirini atakuja kuwambia kimbembe atakachokutana nacho,kikubwa hapo ni safari kwenda TECNO atatengenezewa bure kabisa na nasikia hata ukiwauliza kwa nini imekuwa hivyo...
hahaha so rahisi kama tunavyodhani mi mwenyewe ni muhanga wa hilo na nimehangaika kuclear cache mara cjui kuforce stop dakika ya mwisho mpaka nikairestore simu na bado sikuambulia kitu hapo ajipange kwenda tecno tu mi nliambiwa hivyo na fundi mkubwa tu ambaye hakutaka kunipotezea muda wangu na...
hilo tatizo hata mimi nimekutana nalo na nahisi simu yako ni TECNO K9 kama sijakosea ila cha kukushauri usitafute fundi yeyote wala mtaalamu yeyote we cha kufanya nenda kwa wenyewe TECNO ndo nimesikia wao ndo wana uwezo wa kufix hilo tatizo mimi mwenyewe nmeambiwa jumatatu asubuhi niipeleke nami...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.