Hata huko bandarini juzi tumesikia kuwa wakurugenzi wamepisha uchunguzi. kwani hiyo ndio solution? mbona mambo ni yaleyale tu. kikubwa watupishe hata siku 100 tu waone maendeleo. wezi wakubwa haoooooooooo.
Maisha bora kwa kila mtanzania ndio ilikuwa kauli mbiu yao, sasa ivi inawapasa wabadilishe kauli na kusema ni maisha bora kwa kila polisi, hakuna lililo zuri kwa hawa waheshimiwa wenzetu, sio bandari tu bali ni kila kitu. sasa mnalalamika kuusu bandari kwani wakilekebisha huduma za bandarini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.