Recent content by CHIZI VITABU

  1. C

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

    Bado wana mechi na vipers ushindi leo walihitaji
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nimepooza kiuno hadi chini, msaada tafadhali

    Asante
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nimepooza kiuno hadi chini, msaada tafadhali

    Mbona wengi mnanidhihaki jamani?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nimepooza kiuno hadi chini, msaada tafadhali

    Wapi huko
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nimepooza kiuno hadi chini, msaada tafadhali

    Wapi huko
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nimepooza kiuno hadi chini, msaada tafadhali

    Kiuno hadi miguu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nimepooza kiuno hadi chini, msaada tafadhali

    Msaada jamani mwezi wa sita huu nimefanya matibabu ya kila aina, hospital paliponifilisi na mri scan, dawa za asili na kisuuna hadi maombi. Nakata tamaa sasa
  8. C

    JamiiForums Tanzania Heshima ndogo ya Simba iliyobaki inaenda kumalizikia Super League

    Kwa jinsi wachezaji walivyo wamechoka wengine kama inonga na sakho hawajali utoto mwingi tutarajie aibu super league. Ingekuwa na uwezekano simba wajitoe au wanachama wa simba waandike barua cairo kuomba hilo. Wazee wa ten pasenti mbona hamna huruma jamani mnaokoteza tu wachezaji
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nani atashinda vita ya rangi ya bluu kati ya Yanga na Simba?

    Bukta nyeupe siyo rafiki kwa wadada wakiwa siku zao
  10. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ilikuwaje Pepe Kale akaimba ule wimbo wa "Yanga Africa?".

    Alilipwa usd 10k na gulamali,wasaniii wa congo hadi leo wanafanya sana hiyo kitu inaitwa mabanga mpe hela akutaje kwenye nyimbo au dau kubwa atunge nyimbo yako kabisa kama yule dada mbongo jasmine aliyemsaidia msuva vs wydad wanavyomrusha
  11. C

    JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

    Kufungiwaa mechi tatu huku umekula 10 millions ya waarabu kuna hasara gani
Back
Top Bottom