Recent content by CHITENGAY

  1. C

    Je! Ni kweli kwamba jeshi la polisi limeruhusu mihadhara pale Manzese?

    Je! Polisi wameruhusu malumbano ya kidini yaendelee? Juzi nilipita pale Manzese sehemu inayoitwa Bakhresa na kuona umati mkubwa wa watu ukisikiliza mhadhara wa kidini uliokuwa unaendeshwa pale.
  2. C

    Jihadhari na wizi wa mtandao simu: 0658-051817

    Aliyetoa mfano wa baba anaonyesha kuelewa somo tajwa na nampongeza kwa kutoa tafsiri rahisi.Huhitaji kuweka usiku hapa!
  3. C

    Jihadhari na wizi wa mtandao simu: 0658-051817

    Napenda kutoa tahadhari kuhusu wizi wa mtandao unaoendelea hapa mjini. Mmiliki wa simu yenye namba. 0658-051817 kwa jina la CHRISOSTOM MWABULANGA simu yake inatumika kwa kazi hiyo na ipo hewani. Kinachafanyika ni kwamba anao uwezo wa kutumia namba ya simu yako kuandika sms kwenda mtu mwingine...
Back
Top Bottom