Suala sio kozi yangu, tunachoongelea ni koz kuhususha masomo ambayo sio relevant na hayana maan kwa sababu kuna wanaosoma hayo masomo kama basis na hii koz nyingi zipo hivyo
Elimu ya chuo inamjenga kijana kujiimarisha zaidi katika kile anachosomea, lakini kumekuwa na msomgamano wa masomo mengi ya ziada ambayo kwenye soko la ajira hayatambuliki.
Kwa mfano mwanachuo wa UDOM anayesoma elimu ya Geografia na mazingira badala ya guiding yake kubase na kuyapa muda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.