Recent content by chindo

  1. chindo

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Ubarike sana. Vp ukitaka kuanzisha biashara ya barber shop sehemu iliyochangamka kibiashara. Unatakiwa na capital kiasi gani. Barikiwa sana. - Chindo -
  2. chindo

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Shukrani mkuu. Ningependa kujua kiasi gani natakiwa kuwa nacho ukitaka kufungua barber shop hapo Jo'burg ama cape town. - chindo -
  3. chindo

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Mkuu huo ni mshahara wa wiki tu jaribu kufuatilia post za nyuma. Hata kama ingekua ni kwa mwezi lakini kule kuna opportunities kibao. Uwezi kufananisha na bongo kwa sasa. -Chindo-
  4. chindo

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Vp kwa unskilled labours zpo na kipato chake kipoje ?
  5. chindo

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Jambo la pili kwa wajuzi wa mambo ningependa kujua deadline ya visa kwa mgeni anayemtembelea ndugu yake aliye nje esp Scandinavian countries. Na je kama ikiisha unaweza ukaipeleka mbele let's say from one year to another second year. - Chindo -
  6. chindo

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Ivi jamani hakuna mtu ambaye anaweza kunialika hata ikiwezekana kwa malipo. Ningependelea mwaliko utoke ulaya esp Malta ama Scandinavia countries Kama yupo naomba atujuze ili na wengine wanufafaike. Guys you can make money out of this. - Chindo -
  7. chindo

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Mkuu number zangu ni 0654 646 092.Naomba wakati unasambaza hao wageni unipe mmoja wapo.Ningependa kama awe ke.
  8. chindo

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Mkuu izzo namimi naomba uniweke ktk ma host nilikuwa tight for the last week BT now um back.
  9. chindo

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Shukrani kk pls usisite kutupa more info esp abt Malta.
  10. chindo

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Shukrani mkuu. Ningependa kujua hii $4000 ina aply kwa nchi zote za jumuia ya Ulaya ama nchi moja tu. Interest yangu ni Malta na kama una contact za agents atakayeweza kuprocess visa naomba utuwekee mkuu. Nawasilisha.
  11. chindo

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Sana sana mkuu hata mimi nimekua interested na Malta. Ningependa kujua the total cost kama tayari nishapata visa.Je natakiwa nikate go and return ticket au. ? Pili ningependa kujua nitawezaje kuishi kwa mwaka mmoja wakati watu wa kazi za kujitolea offer zao ni miezi mitatu hadi minne maximum...
  12. chindo

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Shukrani sana mkuu. Ii $4000 ina cover vitu gani ? Pls dadavua.
Back
Top Bottom