Recent content by Chimwemwe tajiri wa kike

  1. Chimwemwe tajiri wa kike

    Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

    Sasa wewe u.malaya wa nini? Upo mbaya hivyo sura mbovu upo kma tufe. Unaumiza kuuma yako tu bure.
  2. Chimwemwe tajiri wa kike

    Natafuta mchumba ikitupendeza tufike tuwe mume na mke

    Kwa sababu sijui kuchora picha.
  3. Chimwemwe tajiri wa kike

    Natafuta mchumba ikitupendeza tufike tuwe mume na mke

    Yes. Nipo shirika fulani la kimataifa. Chini ya wizara ya afya.
  4. Chimwemwe tajiri wa kike

    Natafuta mchumba ikitupendeza tufike tuwe mume na mke

    Carlos wewe una mchumba au mke kama hauna karibu pia.
  5. Chimwemwe tajiri wa kike

    Natafuta mchumba ikitupendeza tufike tuwe mume na mke

    Wao good combination tajiri mapesa na tajiri wakike.
  6. Chimwemwe tajiri wa kike

    Natafuta mchumba ikitupendeza tufike tuwe mume na mke

    Flat screen kiaina ni zile toleo za Kwanza kwanza halichoshi kuangalia.
  7. Chimwemwe tajiri wa kike

    Natafuta mchumba ikitupendeza tufike tuwe mume na mke

    Sura ipo kama Haika.Iko vizuri tu haina shida.
  8. Chimwemwe tajiri wa kike

    Natafuta mchumba ikitupendeza tufike tuwe mume na mke

    Mimi ni mdada miaka 28,muajiriwa taasisi binafsi. Rangi yangu kama ya Hamisa obeto.Umbo langu kama la Haika Navy kenzo(flat fulani hivi lakini halichoshi kuangalia wala hulikinai) Urefu ni size Haika pia. Dini yangu ni Roman catholic. Kwa hapa Dar ninaishi Kijitonyama. Ni mtu ninaejitambua wa...
  9. Chimwemwe tajiri wa kike

    Natafuta mchumba

    Umepata?
Back
Top Bottom