hivi jamani kuna haja ya watu kwenda kuishi huko pembeni ya mji kabisa wakati viwanja na place za kujenda nyumba nzuri tena za kisasa ziko hapa mjini, czani kama mji wetu huu wa dar kulikua na sababu za kukaa mbali kote huko kama watu tukiwa na mawazo ya makazi ya kisasa yasio na gharama kubwa
habari zenu. inafurahisha kuona mji huu ukipabwa na majumba mazuri pia tungependa mikoa mingine ikajengwa majumba kama hayo pia.
Pia wadau ningependa kujua jengo kama lile la TANESCO makao makuu ubungo thamani yake ya ujenzi inaweza kua kama shilingi ngapi za kibongo. kwa wale mainjinia wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.