Sio kama naogopa kufa lakini ni heri kuokoa nafsi za wengne na pia tahadhari ni bora ata vitani huwez kukubali kufa kirahisi ukiwa na wazo labda imepangwa
Unavyodhani ni rahisi ivo kama unavyojua hakuna mtu anakubali kuhatarisha maisha yake ata wakija hakuna jirani ata mmoja anayetoka kusaidia kila mtu ana hofu juu ya ili swala
Ndo maana katika post yang nmeomba ili swala lifatiliwe kwa undani sababu ata mabalozi wa mitaa wameshatutangazia Hali ya hatari pia nyumbani kwangu juzi usiku wamekuja na wamegonga bahati nzuri nilikua nimefunga milango kutokana na tahadhari niliyopewa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.