Recent content by Chimba vituz

  1. C

    Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    Usidharirishe kina Rweymamu wewe Malkia wa fitna na uvurugaji...hakuna Rweymamu asie na uwezo wa kufikiria Kama wewe..acha kutumia majina ya watu haraka!
  2. C

    Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    Huna uwezo wa kugonga akili yangu zaidi ya akili za wanaokulala...hujawai kua na hoja hata siku moja na ndio kawaida ya mapunga yote...c ndio mambo ya haki zenu za mlengo wa kilibera...
  3. C

    Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    Huna uwezo wa kugonga akili yangu zaidi ya akili za wanaokulala...hajawai kua na hoja hata siku moja na ndio kawaida ya mapunga yote...c ndio mambo ya haki zenu za mlengo wa kilibera...
  4. C

    Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    Tumia macho kusoma,akili kufikiria na vidole kuandika na katu usiwe mwehu wa kukurupuka.. Nani ameongelea furaha ya maafa yaliyojiri Arusha,umekurupukia wapi wewe kasimba... Mwanaume akaliwi mapajani na mwanaume mwenzake..jipange na uelewe mada.. Hakuna asieumizwa na yaliyotokea.soma uelewe..
  5. C

    Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    Madam Selungo,hapa si pa makubwa jinga,yaliyofirisika fikra,wenye kutumia KAMASI badala ya ubongo Kama wewe,sikiliza wewe mbulula unaepambania hewa badala ya sera,masikini wa mawazo mwenye mlengo wa kilebar....kutokana sir Kwenda madam,usitafute mabwana wa kukuoa kinguvu,Kama huna hoja tafuta...
  6. C

    Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    Hilo pia litakua Jina la ukoo wako,maana hata sura yako uliyo-display inathibitisha wewe ni wa ukoo huo,na majina yote mawili ndio yako..
  7. C

    Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    Gurtu,Kama ukifatilia michango yango mbalimbali humu JF,utagundua siku zote hua nasimamia kweli..maana utagundua nimetetea viongozi mbalimbali toka vyama tofauti. Nimefurahi kuona umekubali ukweli ju ya watu kutetea pande zao,na hii ndio Hali halisi inayoondoa maana ya "GT" kwa sababu lazma...
  8. C

    Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    Ndugu Adolay, hii ndio maana ya GT..Hongera. Nianze kwa masahihisho ju ya "spelling errors" yaani itilafu za kimaandishi(usijesema nimekutusi mkuu) si "Great Thinkert" ni Great Thinkers,na badala ya bastora ni bastola..Naamini unaelewa ila nimeona vema nianzie hapo. Maswala ya risasi...
  9. C

    Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    Kama wewe ndio wa wa kwanza kwenu na ikatokea waliokufata wakafata akili na ushahuri wako,lazma watakua mbumbumbu..
  10. C

    Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    Badili jina jiite dagaa...maana upeo wako ni wa kidagaa...soma uelewe..
  11. C

    Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    Kaka,JF si mahali pa kutishana bali kuelimishana kwa hoja,hususan kwa wasiojielewa Kama wewe,tulia ujifunze ukweli ndani ya maisha badala ya fitna zenu na ushabiki ndani ya forum..
  12. C

    Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    Kuna mapendekezo ya forum mamba 2 na 3,ndio stahiki yako,wewe ni mtumwa wa ushabiki wa kisiasa mimi ni mtumwa wa Uzalendo na Nchi yangu,hakuna nitakalosema Mimi wewe ukawa na uwezo wa kuchangia kwa maana ufahamu wako uko chini ya Chama chako wakati wangu huu ndani yangu,ndio maana kiwango cha...
  13. C

    Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    Kibogo,napata Shaka sana na uelewa wako! Nani amekuambia kua hili ni kanusho?! Kwanini utakua mgumu wa kuelewa hata pale unapoelimishwa ndugu? Ukielimishwa elimika. Ebu tenga dk chache tena,pitia post yangu ndio utaelewa Kama ni kanusho ama hoja,na nini mtazamo kisha utapata majibu ya maswali...
Back
Top Bottom