Habari wana JF,
Naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie taratibu za kufanya mitihani ya leseni kwa kozi ya famasi pia kama ana mitihani ya nyuma anisaidie[emoji2969]
Acheni kupotosha watu kwenye afya huwa wanategemeana na yaani hospital iwe na daktari tu? Hapana na msichojua katika hospital mtu wa mwisho kuhakiki makosa ya daktari ni mfamasia musichukulie poa
Habari za saivi wana JF,
Nimekutana na changamoto apa mwanzo niliattach vote card ya mdhamini ila ikajitoa kwa bahati mbaya kwenye system sasa kila nikiingia nakutana na maelezo ya kuweka tena lakini sehemu ya kukiweka (kuattach) sipaoni NAOMBA MSAADA mwenye uelewa apo na simu hawapokei.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.