Wengi watanzania tumekua ni watu wa kulalamika, kuhuzunika, kunyanyasika, kunyanyasana na kubaguana wenyewe kwa wenyewe kwasababu za kiuchumi, elimu, nyadhifa, makabila, ujinga/upumbavu, imani zetu tulizonazo na pengine kutokana na mapungufu ya kibinadamu.
Watanzania tuliowengi tunapitia...