Tupo pamoja mkuu mawazo chanya ya elimu yetu yahitajika sana kilio changu nikuona chuoni tunaondokana na mitihan ya kwenye karatasi mana toka chekechea hadi unafika chuoni umeyaandika sana chuoni waweke mkazo kwenye uhalisia wa taaluma hzo kwa vitendo mitihan ya andika au taja maana ya vitu...
Kwa mujibu wa tovuti ya tathimini ya idadi ya watu duniani ya mwaka 2022, makadirio ya umri wa ukomo wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 66. Kwa mtanzania aliye bahatika kuhitimu shahada yake ya awali akiwa na miaka 23 hadi 24 atakuwa ametumia takribani asilimia 34.85 (miaka 23) hadi asilimia 36.36...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.