Recent content by Chief Masta

  1. Chief Masta

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    https://asiliyetuafrika.com/nyumbani/f/mambo-asili-ya-kukusaidia-kutibu-fangasi-yutiai-na-pid-sugu
  2. Chief Masta

    SONGESHA

    Hivi mtu kama alikuwa anadaiwa songesha, laini yake ikafungwa ukiisajili wewe ndo utatakiwa kulipa hilo deni?
  3. Chief Masta

    Uwekezaji Be Foward

    Jana nikapost kuhusu watu ambao wamewekeza kwenye BE FORWARD NOW ili kuhakikisha kama kweli wananufaika au lah...! Kuna raia wamezomea, wengine wakasema dogo utatapeliwa, n.k ila kuna akili ikaniambia kijana wewe ni mwafrika bhana na ili mwafrika aamini mpaka aguse, nikaamua kuwa Thomaso...
  4. Chief Masta

    Kanuni za Fedha: Jinsi ya kutengeneza pesa na kuendelea kuwa juu!

    God bless you, masomo kama haya hata usome phd huwezi kuyakuta kwenye syllabus
  5. Chief Masta

    Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Nauza dagaa pia, kutoka Bukoba (Igabiro), napeleka mzigo kasulu-kigoma Natafuta frem Dar nahitaji kufungua stoo ambayo ntakuwa natoa mzigo Bukoba mpaka Dsm nauza jumla na rejareja pia Uhakika wa magunia ni 25 sawa na tani 1.5 Kama una koneksheni yoyote PM au Nicheki 0757487684
  6. Chief Masta

    Dagaa wa Bukoba kilo Tsh 5,000

    Kama unahitaji dagaa wa Bukoba (Safi, Ya Jua Moja bila Mchanga) nicheki, kilo moja kwa tsh 5,000 Napokea oda kuanzia kilo 60 na kuendelea, muda wowote nicheki kwa namba yangu 0624200275
  7. Chief Masta

    Anayefahamu soko la dagaa chafu

    Mzigo wa dagaa chafu upo wa kutosha km kuna uhitaji au kuna sehemu unafahamu soko lilipo nicheki 0624200275 tuyajenge
  8. Chief Masta

    Masoko ya dagaa

    Ni wa kawaida wakavu
  9. Chief Masta

    Masoko ya dagaa

    Hiyo hapo Contact 0624200275
  10. Chief Masta

    Masoko ya dagaa

    Nakucheki soon Bob
  11. Chief Masta

    Masoko ya dagaa

    Wadau, mimi ni mjasiriamali mdogo, nipo Bukoba, najihusisha na uuzaji wa dagaa wa Bukoba Kama mkoa uliopo kuna masoko au unafanya biashara hiyo nijuze au kama unajua mdau anayenunua dagaa vyema kukonekti Uhakika wa mzigo upo mpaka gunia thelathini DM tuyajenge
Back
Top Bottom