Habarini ndugu za leo na wakati huu.
Naomba kujua kama kuna mtu mwenye experience na visa.
MIMI NILI OMBA VISA MNAMO MWEZI WA 4 TATEHE 5 NA JANA NIMEPOKEA UJUMBE WA EMAIL, KUWA NIKA COLLECT MY PASPORT JE NAWEZA KUAGIZA MTU AKANICHUKULIA? MAANA NIPO NJE YA MJI KWA DHARURA KIDOGO.
Asanten
Ohhh sawa mkuu asante sana mkuu maana nimeuliza hivyo coz nilienda ubalozin wakaniambia ni add hivyo vitu so hapa inatakiwa niwasiliane na fly emirate na kule niangalie ni book then wanitumie hiyo doc sio mkuu?
Hello thinkers
Salaam wakuu!
Nilikiwa naomba mtu mwenye ushauri au ujuzi wa kupata
TRAVEL INSURANCE CERTIFICATE, FLIGHT RESERVATION, HOTEL RESERVATION.
Hizi ni uambatanisho wakupata viza/Visa ya kusafiria kwa mda.
Kama kuna mtu mwenye experience please tujuzane hata kama mtu ataona noma...
Hello, thinkers
Salaam wakuu!
Nilikiwa naomba mtu mwenye ushauri au ujuzi wa kupata
TRAVEL INSURANCE CERTIFICATE, FLIGHT RESERVATION, HOTEL RESERVATION.
Hizi ni uambatanisho wakupata
viza/Visa ya kusafiria kwa mda.
Kama kuna mtu mwenye experience please tujuzane hata kama mtu ataona noma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.