Recent content by Chief gogo

  1. C

    JamiiForums Tanzania Bulaya ampa za Uso Msigwa

    U Upo sahihi ndugu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Bulaya ampa za Uso Msigwa

    Kwa upande wangu namheshimu Sana msigwa na nilikuwa najifunza mengi kutoka kwake.Sikuwa na shaka na kuhama kwake ikiwa lengo lake lilikuwa ni kupata cheo na kutegemea kukipata ndani ya chama Cha mapinduzi.Lakini Kali zake dhidi ya chama ambacho alikitumikia kwa muda mrefu Tena akiwa kama sehemu...
  3. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini Mchungaji Msigwa afunguka sababu 4 za kuondoka CHADEMA

    Huyu ni mtu wa kuwa naye makini kwani kilichomtoa chadema ni madaraka tu na SI hayo anayoyasema.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Bilionea William Mungai achukua fomu kutetea Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Iringa

    Ki La lakheri kamanda tupo na wewe na hakika IRINGA ccm habari Yao kwisha.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hili suala la wanafunzi kubaki shule lina umuhimu mkubwa kwa maisha ya baadaye ya mtoto wako

    Upon sahihi asilimia 💯 matamko ya kisiasa yanaharibu Sana eimu yetu na wamefeuka kuwa wazazi wakati sisi wazazi ndo tunataka watoto wetu wabaki shuleni kama kukaa nao tutakaa nao Sana wakimaliza.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Anayetaka jimbo lolote kati ya haya anitafute

    Umesahau Jimbo LA iringa mjini
  7. C

    JamiiForums Tanzania Hili la walimu kuchangishwa michango ya Mbio za Mwenge kwa lazima likomeshwe

    Suala hili linakela kwakwel I halafu watatokea watu Fulani kuwalazimisha WATUMISHI kununua sale za mwenge dah kama ni hivyo basi bajeti ya mwenge isiwepo wapeleke fedha hizo ikawanunulie dawa bibi zetu huko vijijini.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Iringa: Wamachinga waandamana wakitaka Mchungaji Msigwa arejeshewe Ubunge wake ili awatetee

    Sawa mama angu Jesca punga mkono wa waheri
  9. C

    JamiiForums Tanzania Rais kagundua ukweli: Mawazo ya upinzani ni bora kuliko ya bunge hili feki

    Ukweli usiopingika wabunge walio wengi wa ccm uwezo wao wa uenga hoja zinazoweza kumsaidia mh Rais katika kutekeleza majukumu take ni mdogo Sana.Hakia wepo wa wabunge wa upinzani ulileta changamoto kubwa kwa seriali andio maana hasta kipindi Cha Mzee jk mambo mengi yaliwezekana kupitia hoja za...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe warudishe Halima na wenzake kundini kwanza

    Nakubaliana na we kwa asilimia zote. Huu ni wakati wa kuijenga na usameheana.Kama wao ni kupinga kuvuliwa uanachama basi tukae chini tuondoe tofauti zetu chama kisonge mbele.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kongamano la CHADEMA 10 Desemba 2022 Iringa

    Hakika chadema ni mpango wa Mungu na tutakuwepo kwenye kongamano hata kama itatugharimu kiasi gani
  12. C

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: CCM yawateua wagombea Ujumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)

    vote for Halima yahaya Mpinge.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kuna fujo na mapigano kwenye uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kilombero

    waache wafu wazikane wenyewe
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mgombea CCM ataka tume huru kuhesabu kura

    Ohoooooo kumbe
Back
Top Bottom