Recent content by Chichi Theboy

  1. Chichi Theboy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Zamaleck kajua kuniliza[emoji36]
  2. Chichi Theboy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na ndio maana mi siwaamini kabisa wanaosema tapeli maana ukidandia kwenye code zake lazima ule[emoji119]
  3. Chichi Theboy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ikitoa ni kwa mbinde sana
  4. Chichi Theboy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aiseee kwa hiyo hachambui yeye?
  5. Chichi Theboy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    SPORTYBET
  6. Chichi Theboy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tuendelee kumfuatilia tukuze mitaji tuanze kustake high[emoji16]
  7. Chichi Theboy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huyu jamaa sidhani Kama ni tapeli Kuna code yake aliipost Jana Ile aliyokula m8 nilitembea nayo nikala sema stake zake ni kubwa mno ukimfuata unaweza kushusha brand ya familia... Stake what you can afford to lose [emoji119] wanaosema tapeli ni wale wauza odds soko limeshuka
  8. Chichi Theboy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka sana [emoji119]
  9. Chichi Theboy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    muda wa kuwasimanga man u bado?[emoji856]
  10. Chichi Theboy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hata kama wana wengi wanasema betpawa kaminya odds ila bado ni better sana hata transaction zinafanyika kwa haraka na kwa urahisi zaidi betpawa is the best huko kwingine tunayumbishwa tu hamna kipya[emoji1696]
  11. Chichi Theboy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimechunguza hiyo sehemu ya lugha haipo kabisa developer wa hiyo app naona bado mwanafunzi[emoji3061]
  12. Chichi Theboy

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Lile tanagazo nikikua nalipenda sana hasa yale macho yao
  13. Chichi Theboy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii leo tunazika[emoji16][emoji16][emoji16]
  14. Chichi Theboy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Psg kasepa na wilaya jana[emoji1][emoji1]
  15. Chichi Theboy

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji28][emoji28]anatandika watu tofali si kitoto huko twitter nahisi atakua amebaki pekeake
Back
Top Bottom