naombani ushauri ndugu zangu kuna binti nimekuwa naye kwenye mahusiano miaka 3,nikawajulisha nyumbani wakamkubali na tukapanga tarehe ya kwenda kulipa mahari,lakini cha kushangaza wazazi wamebadilika hawamtaki tena binti kisa dini,kuhusu dini binti alikubali kubadili dini kunifuata familia...
Ndugu zangu habari,mwezi wa 4 nitafungua pharmacy kwa mtaji wa kama mil 30,kuhusu location am sure nitaipata nzuri hofu yangu kubwa ni kwamba mimi kazi yangu ni ya kusafiri safiri sana.
Nilitaka kujua je ninaweza kufungua halafu ni control duka langu kwa kutumia camera ntakazofunga dukani mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.