Recent content by chibandason

  1. C

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Hongera sana kamanda maelezo yanajitosheleza
  2. C

    Vyuo vikuu wampendekeza January Makamba kuwa Rais ajaye

    Hii ni dangaanya toto na wanafunzi mnakaa kwenye vikao mnalipwa kisha mnadanganya taifa, mlikosa ajenga za kujadili:kev:
  3. C

    Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!

    Hi wakati muafaka wa serikali kufanyia kazi majina haya na tukichanganya na yale aliyokuwa nayo Rais
  4. C

    Mashtaka ya ugaidi Tabora yafutiliwa mbali, Henry Kilewo na wenzake 4 huru kwa tuhuma hizo

    Mungu ni mwenye haki na popote penye haki hakuna kukata tamaa mpaka kieleweke
  5. C

    USHAHIDI WA BOMU: Wanasheria wauunga mkono Msimamo wa Mbowe na CHADEMA

    Polisi waonyeshe ukomavu tume huru kisha wasubiri majibu
  6. C

    Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

    Yes CV ya Lema ameiandaa mwenyewe linalokuuma ni lipi hapo, kasema ana diploma na anaendelea na masomo :smile-big:
Back
Top Bottom