nimesomea Bachelor of Education in science majoring chemistry and biology.
Najua kuendesha gari au pkpk ila nilijifunzia mtaani ko lesseni sina..
Nishaaply kwny taasisi tofauti na nilishafanya kazi kwny shule moja... ila nilipatwa na msiba nikatoa taarifa kazn kurud nikawa nimekosa kazi tena...
Nimesomea Bachelor of Education in science majoring chemistry and biology.
Najua kuendesha gari au pkpk ila nilijifunzia mtaani ko lesseni sina.
Nishaaply kwny taasisi tofauti na nilishafanya kazi kwny shule moja..
ila nilipatwa na msiba nikatoa taarifa kazn kurud nikawa nimekosa kazi tena
Habari zenu wanajukwaa?
Natumaini mko poa sana.
NAITW MUSSA NAISHI UKONGA BANANA.
ELIMU YANGU NI DEGREE
Natafuta kazi wadau iwe ya
1.KUUZA DUKA
2. VIWANDANI
3. kwa makampuni.
Au kazi yoyote wadau,, itakayonipatia kipato cha kukidhi mahitaji yng kasoro ya ulinzi tu.
NAOMBENI MSAADA WENU NDUGU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.